use left or right arrow keys to navigate the tab,
Page First page Last page More pages Next page Previous page
Press Enter or Space to expand or collapse and use down arrow to navigate to the tab content
Click to read more about this recipe
Includes
Your webbrowser is outdated and no longer supported by Microsoft Windows. Please update to a newer browser by downloading one of these free alternatives.

Notisi ya Kuki 

Mwisho Kusasishwa:17.09.2024

Flora Food Group inaheshimu faragha yako na tunathamini uhusiano tulionao nawe. 

Tunatumia Vidakuzi na teknolojia zingine zinazofanana za ufuatiliaji kwenye tovuti zetu, apps, kurasa za chapa kwenye majukwaa ya watu wengine, programu zinazopatikana kupitia tovuti kama hizo na majukwaa ya mtu mwingine yanayoendeshwa kwa niaba yetu ("Tovuti") kutusaidia kuboresha uzoefu wako, kutoa bidhaa na huduma zetu, na kuhakikisha Tovuti zetu zinafanya kazi kama unavyotarajia.  

Notisi hii ya Kuki ("Notisi") ni muhtasari wa kategoria tofauti za Vidakuzi, na teknolojia zingine zinazofanana tunazotumia kwenye Tovuti zetu. Notisi hii pia inatoa taarifa kuhusu jinsi ya kudhibiti Vidakuzi hivi. Tafadhali chukua muda kusoma Notisi hii na, ukiwa na maswali, tafadhali tutumie barua pepe kupitia privacy@florafg.com

  • Kile "Kuki" inamaanisha 

     

    Vidakuzi, lebo za pikseli, bikoni za wavuti na teknolojia zinazofanana (kwa pamoja "Vidakuzi") ni faili zilizo na kiasi kidogo cha maelezo ambayo hupakuliwa kwenye kifaa chochote kinachotumia intaneti kama vile kompyuta, simu mahiri au kompyuta yako kibao (kwa pamoja, "Kifaa (vifaa)"). unapotembelea tovuti. Vidakuzi hufanya kazi tofauti na zenye umuhimu, kama vile kukumbuka upendeleo wako, kwa ujumla kuboresha uzoefu wako mtandaoni, na kutusaidia kutoa bidhaa bora kwako na huduma. 

  • Aina za Vidakuzi tunavyotumia 

    Vidakuzi vinavyowekwa na sisi, kama mmiliki wa tovuti, vinaitwa "Vidakuzi vya mhusika wa kwanza". 

    Vidakuzi vinavyowekwa na wahusika wengine isipokuwa sisi vinaitwa "Vidakuzi vya wahusika wengine". 

    Huwa tunatumia wahusika kadhaa ambao wanaweza kuweka Vidakuzi kwenye Kifaa chako unapotembelea Tovuti zetu ili waweze kutoa matangazo yaliyokusudiwa ndani ya vikoa vyetu, kwa mfano Facebook na Google DoubleClick. 

    Aina zingine za Vidakuzi vya wahusika wengine kwenye Kifaa chako hutuwezesha kutoa matangazo kwenye Tovuti zetu. Makampuni yanayoweka Vidakuzi hivi huenda yakatumia maelezo kuhusu ziara zako kwenye Tovuti ili kutoa matangazo husika kuhusu bidhaa na huduma ambazo unaweza kuzipenda. Pia huwa yanatumia Vidakuzi kupima ufanisi wa matangazo. Maelezo yanayokusanywa kupitia mchakato huu hayatuwezeshi au hayawawezeshi kutambua jina lako, maelezo yako ya mawasiliano au maelezo mengine yanayokutambulisha kibinafsi isipokuwa uchague kutoa maelezo haya.

    Vidakuzi vinavyotumiwa katika Tovuti zetu huenda vikawekwa katika kategoria zifuatazo kwa ujumla:

    1. Vidakuzi Muhimu Sana:Vidakuzi hivi ni muhimu sana katika kutoa bidhaa na huduma zinazopatikana kupitia Tovuti zetu na kutumia vipengele vya Tovuti.  
    2. Vidakuzi Vinavyolenga na vya Matangazo:Vidakuzi hivi vinatumiwa kutoa ujumbe wa matangazo yanayokufaa zaidi.
    3. Vidakuzi vya Uchambuzi:Hivi huturuhusu kutambua na kuhesabu idadi ya wageni wanaotembelea Tovuti zetu na kuona jinsi wageni wanavyovinjari Tovuti zetu. Ili kutusaidia kuboresha jinsi Tovuti zetu zinavyofanya kazi, kwa mfano, kwa kuhakikisha kwamba watumiaji wanapata wanachotafuta kwa urahisi, kurasa zile wanazotembelea mara nyingi, kuboresha utendakazi wa tovuti na kupima mafaniko ya kampeni za uuzaji kwa njia ya barua pepe zetu.
    4. Vidakuzi Vinavyobinafsishwa na vya Kijamii:Vidakuzi hivi huruhusu uzoefu uliokusudiwa kwenye Tovuti zetu na kuruhusu mwingiliano na mifumo ya mitandao ya kijamii.

    Ikiwa ungependa maelezo zaidi kuhusu Vidakuzi maalum, ambavyo sisi (au wahusika wengine) wanatumia kwenye Tovuti zetu, madhumuni ya kutumia vidakuzi hivyo vilivyochaguliwa, na muda wao, tafadhali fuata maagizo yaliyo hapa chini:

    1.

     

    Tembelea mojawapo ya Tovuti zetu na ubofye kwenye bendera ya Kukiambayo inaomba idhini yako kwa uwazi kabla ya kutumia Vidakuzi (hifadhi kwa Vidakuzi Muhimu Sana) au vinginevyo vinjari sehemu ya chini ya ukurasa wa Tovuti na uchague "Mapendeleo ya Kuki".

     

    2.

     

    Bofya kwenye kategoria husika ya Kuki (yaani, Takwimu, Uuzaji nk.) ili kuona aina mahususi za Vidakuzi vinavyotumika kwenye kila Tovuti

     

    3.

     

    Kuanzia hapa unaweza kwenda kwenye tovuti ibukizi ambayo inaweka, kuhusiana na Tovuti hiyo, kujua kwa nini Vidakuzi vinatumiwa, aina ya taarifa inayokusanywa, ni taarifa gani inashirikiwa na wahusika wengine, muda wa kuhifadhi taarifa ni upi na mahali ambapo habari inahifadhiwa. Kutokana na hali ya kimataifa ya biashara yetu, Tovuti tofauti hutumia zana tofauti kukusanya Vidakuzi tofauti.

     

    Ili kujua jinsi ya kudhibiti matumizi ya Vidakuzi hivi, tafadhali tazama sehemu ya "Jinsi ya kudhibiti matumizi ya vidakuzi (How to control the use of cookies)" hapa chini.

  • Madhumuni ya kutumia Vidakuzi  

     

    Taarifa zaidi na maelezo kuhusu sababu tunatumia aina mahususi ya Vidakuzi inaweza kupatikana kwenye sehemu ya “Cookie Preferences” katika kila Tovuti yetu.  

    Hata hivyo kwa upana huwa tunatumia Vidakuzi kwa sababu zifuatazo: 

    1. Ili kufanya Tovuti zetu ziwe rahisi kutumia, kutoa uzoefu uliobinafsishwa, na kutoa bidhaa zetu, huduma na Tovuti kwa upendeleo na mahitaji yako. 

    2. Ili kukusanya "Data yako ya Kibinafsi" (hii inamaanisha maelezo yoyote yanayohusiana na mtu aliyetambuliwa au aliyetambulika. Tafadhali tazama Notisi ya Faragha kwa taarifa zaidi [LINK]) ambayo basi tunaweka katika sehemu za wanunuzi ili tuweze kutoa matangazo lengwa yaliyotayarishwa kwa kusudi la kufikia upendeleo wako na kupunguza mara ya kuona kampeni fulani, tangazo nk. 

    3. Ili kuboresha maudhui yetu na matangazo (kwa kuweka Vidakuzi katika barua pepe zetu). 

    4. Ili kutayarisha takwimu zisizotambulishana na za jumla ambazo zinaturuhusu kuelewa jinsi watu hutumia Tovuti zetu (na kutusaidia kuboresha muundo wake na maudhui). 

    5. Ili kutusaidia kupima ufanisi wa kampeni za utangazaji kwenye Tovuti zetu. 
  • Jinsi ya kudhibiti matumizi ya Vidakuzi 

    Ni lazima tovuti zipate idhini ya kutuma Vidakuzi kwenye Kifaa chako isipokuwa Vidakuzi viwe ni muhimu sana katika kutoa huduma kwako.

    Unaweza kuweka mapendeleo yako ya Kuki unapotembelea mojawapo ya Tovuti zetu kwa:

    1.

     

    Kubofya "Options" kwenye bendera ya Kuki ambayo inauliza idhini yako kwa wazi kabla ya kusakinisha Vidakuzi.

     

    2.

     

    Isipokuwa Kuki iwe ni Kuki Muhimu Sana, pia unaweza kuondoa idhini yako wakati wowote, hata kama ulikuwa umetoa idhini hapo awali, kwa kubofya kwenye "Cookie Preferences".

     

    3.

     

    Basi unaweza kuchagua kujiondoa kwenye ukusanyaji huu wa maelezo kwa kuondoa alama kwenye visanduku katika sehemu ya "Cookie Preferences".

     

    Ikiwa utalemaza Vidakuzi tunavyotumia, huenda hili likaathiri uzoefu wako wa matumizi ukiwa kwenye Tovuti hizi.

  • Muda tunaotumia wa Vidakuzi 

     

    Kwa maneno ya muda, huwa tunatumia aina tofauti za Vidakuzi kwenye Tovuti zetu: 

    1. Vidakuzi vya Kipindi: Vidakuzi hivi ni vya muda mfupi ambavyo hubakia kwenye Kifaa chako hadi utakapoondoka kwenye Tovuti zetu; au  

    2. Vidakuzi vya Kudumu: Vidakuzi hivi hubakia kwenye kifaa kwa muda mrefu zaidi au hadi ufute moja baada ya nyingine (urefu wa muda ambapo Kuki itabakia kwenye kifaa chako utategemea kiwango cha muda au "maisha yote" ya Kuki maalum, na pia mipangilio yako ya kivinjari).  
  • Mabadiliko ya Notisi yako 

     

    Huenda tukafanya mabadiliko na urekebishaji wa Notisi hii. Tafadhali rejelea ukurasa huu muda kwa muda ili ukague mabadiliko haya.